Featured

Loading...


DIAMOND PLATINUMZ SASA NI "HOTCAKE"...AWAPIGA STOP MASTAA WA NIGERIA!


Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake’ kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa Nigeria ambao hawajafanikiwa kufanya nae wataikosa nafasi hiyo.
Platnumz ambaye Jumamosi iliyopita pamoja na msanii wa Afrika Kusini, Donald wameshoot video ya collabo yao mpya, amesema kwa sasa amefunga milango ya kupokea collabo za wasanii wa Nigeria. Hii inamaanisha zile collabo za wasanii wanaomuomba yeye afanye nao.
“Sababu ya kusimamisha kwa sasa isiwe too much too much “ amesema Diamond kupitia 255 ya Clouds Fm. “ kwa sababu mwanzo tulikuwa tunafanya collabo na watu kwa sababu ya kutafuta tobo la kuingia Nigeria,tumeishaingia vizuri Nigeria tunakubalika tunafahamika na nyimbo zetu zinafanya vizuri hata tukitoa nyimbo ambazo tunatoa wenyewe tu zinahit, mfano kama Nasema Nawe navyokwambia sasa hivi inafanya vizuri Nigeria, so inakuwa haina maana kila mtu akushirikishe shirikishe unakuwa hauna umuhimu, zimebaki tu baadhi ya collabo za ambazo za wasanii wanaofanya vizuri zitatoka baadae lakini sio kwa sasa hivi kwani tumezisimamisha, kwani tumekuwa tukiombwa sana sana sana na wasanii wa Kinigeria kufanya collabo tumesimamisha.”
Diamond ameongeza kuwa collabo ya mwisho kutoka Nigeria ni ile ya Kcee na yeye iliyotoka hivi karibuni, ambayo wanatarajia kuifanyia video nchini Afrika Kusini.
“katika nyimbo ambazo tumeshirikishwa itakuwa ya mwisho hii tumefanya na Kcee kwa sasa ambayo kuanzia kesho tunaanza kushoot video yake ambayo inafanyika hapa hapa South Africa, ilitakiwa tushoot Mozambique lakini kwa sababu nina issue za kifamilia hapa South Africa imeshindikana kwenda Mozambique imebidi nimwambie inabidi tushoot hapa hapa.”
Hata hivyo Diamond amesema miongoni mwa wasanii wengine wa Afrika ambao wametuma maombi ya kufanya naye collabo ni pamoja na Ferré Gola pamoja na kundi la Too Fan la Togo.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top