Mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy wakiwa kwenye tuzo hizo.
WAKATI mashabiki wakifikiri mtafaruku kati ya mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy ukiongezeka, D’banj aliwashangaza watu wote kwa kusema tuzo yake aliyopata katika mchuano wa MTVMAMA huko Afrika Kusini ni zawadi kwa prodyuza wake wa zamani, Don Jazzy.
D’banj akiwa na mpenzi wake.
Mwanamuziki huyo ambaye anajulikana kama The Kokomaster D’banj alishinda tuzo ya ‘Evolution Award’ kwenye mchuano wa MTVMAMA2015, na wakati anatoa hotuba yake ya shukurani alisema tuzo hiyo anaitoa kwa Don Jazzy; jambo ambalo liliamsha vifijo kibao kutoka kwa mashabiki waliofurika ukumbini.
Katika kukamilisha furaha yake, alimtambulisha mpenzi wake wa siku nyingi wa kike kutoka Afrika Kusini, Bonang Matheba, ambapo alimbusu kwa furaha kubwa.
Wawili hao – D’banj na Matheba -- walionekana wakiwa wanatembea kama kumbikumbi tangu walipokuwa wanapita kwenye zulia jekundu.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
on Monday, 20 July 2015
Post a Comment