Featured

Loading...


Kanye West "Ala za Uso" London


Staa  wa Hip Hop, Kanye West hivi karibuni amekutana na aibu kubwa jijini London wakati akiwa kwenye tamasha la kuadhimisha Sikukuu ya Glastonbury baada ya kikundi fulani cha mashabiki kunyoosha bendera juu iliyochorwa picha ya mkewe Kim Kardashian akifanya ngono na Ray J.


Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali nchini Uingereza na Marekani,Kanye hakupenda kabisa kulizungumzia tukio hilo la aibu.
 
Ray J aliwahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian kabla hajaolewa na Kanye, mapema tu baada ya mapenzi yao kutumbukia ‘korongoni’ilisambaa ‘tape’iliyowaonesha wawili hao wakifanya ngono.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top