Featured

Loading...


Shilole, nuh wapatanishwa

shilolee-3Wanamuziki ambao pia ni wapenzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’
Imelda Mtema
BAADA ya kujinadi kwa mbwembwe nyingi mitandaoni kuwa wamemwagana, hatimaye wapendanao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wamepatanishwa na kufungua ukurasa mpya wa ‘malovee’, Risasi Mchanganyiko linakumegea.
Chanzo kilicho karibu na wawili hao kilipenyeza habari kuwa, Shilole na Nuh Mziwanda walilazimika kupatana baada ya kukutanishwa kwenye bethidei ya Kajala bila kujijua na kuombwa wapatane.
“Kwani hamjui kuwa walipatana siku ile  ya bethidei ya Kajala? Kama hamuamini muulizeni Kajala atawapa ubuyu kamili lakini habari ndiyo hiyo, walikutana, wakakumbatiana na kuanza upya,” kilisema chanzo chetu.
shiloleNUHBaada ya kunyaka ‘ubuyu’  huo, mwanahabari wetu kwa kutumia vyanzo mbalimbali alifanikiwa kuzipata picha za Shilole na Nuh wakiwa wamekumbatiana kwenye sherehe hiyo iliyofanyika nyumbani kwake, Afrikasana jijini Dar.
Mwanahabari wetu alimvutia waya Kajala ili aweze kuzungumzia tukio hilo ambapo alisema aliamua kuwapatanisha kwa sababu anapenda ‘kapo’ yao hivyo kitendo cha wawili hao kutokuwa pamoja kilikuwa kikimuumiza moyo.
Hata hivyo, baada ya kupatanishwa, wadau wa burudani Bongo ambao hawakupenda majina yao yaandikwe gazetini, waliwaonya wawili hao kutulia na iwe mwisho kugombana maana si mara ya kwanza kugombana.
Kabla ya kupatanishwa, wawili hao walikuwa wakitupiana madongo mitandaoni wakionesha kuwa hawana dalili za kurudiana lakini hatimaye wamekubaliana kuwa pamoja kwa mara nyingine.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top