Featured

Loading...


TASWIRA YA UZINDUZI RASMI WA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA DAR

Vijana wa Scout walivyokuwa wamepanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akishuka katika viwanja vya Sabasaba jana.
Lango kuu la kuingia kwenye ukumbi uliokuwa umeandaliwa maalum kwa mgeni rasmi.
Baadhi ya watu waliofurika katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiingia katika jukwaa lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya mgeni rasmi.
Hii ni taswira ya jana ya uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Maonesho hayo ya 39 ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana ameyazindua akiwa ni mgeni rasmi, yalimfurahisha akasema anawapongeza wajasirimiali nchini wakiweomo wawekezaji kwa kumuezesha kuondoka madarakani akiwa ameiacha nchi katika hali nzuri.
“ Ushirikiano wa biashara kati serikali na sekta binafsi uliwezesha sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda na biashara kuimarisha uchumi wa nchi,” alisema Rais Kikwete.
HABARI/PICHA: DENIS MTIMA NA HARUNI SANCHAWA/GPL

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top