Featured

Loading...


UPENDO WA KWELI:BABA AJIANDAA KUUZA FIGO YAKE KUOKOA MAISHA YA WATOTO WAKE

(Kutoka kushoto) Yogita, mitano, Harsh, miezi 18, and Anisha, mitatu, (34kg), (15kg) na (48kg)
Baba maskini amedhihirisha mipango yake ya kuuza figo yake ili kuweza kuokoa maisha ya matibabu ya wanawe watatu wenye viriba tumbo (obese).
Wasichana Yogita Rameshbhai Nandwana, (5), na Anisha (3) na ndugu yao Harsh mwenye miezi 18, ni miongoni mwa watoto wazito duniani.
Wakiwa na kilo 34, kilo 48 na kilo 15, chakula wanachokula kwa wiki kinatosha kulisha familia mbili kwa mwezi.

Baba, mama pamoja watoto wao, wote wanaishi Gurjarat, India
Sasa baba yao Rameshbhai Nandwana, 34, wa Gurjarat, India , anapanga kuuza figo yake kupata fedha ili awapeleke kwa mtaalamu.
Alisema: “Kama wanangu wataendelea kukua kwa kasi hii watakuwa na matatizo ya kiafya. Tunahofia watakufa.”
Yogita na Anisha hula chapatti 18, kilo 3 cha mchele, pakiti sita za krispsi, pakiti tano za biskuti, ndizi 12 na lita moja ya maziwa kila siku.

Chakula wanachokula watoto hao kwa wiki hulisha familia mbili kwa mwezi
Na kwa kuwa wana njaa sana basi mama yao Pragna Ben, 30, hushinda akiwapikia chakula kutwa nzima.
Alisema: “Siku yangu huanza kwa kutengeneza chapatti 30 na kilo moja ya mboga za majani asubuhi, baada ya hapo naenda jikoni kuandaa chakula zaidi.
“Njaa zao haziishi, wanataka chakula muda wote na hulia na kupiga kelele kama hawalishwi. Muda wote niko jikoni nikiwapikia.”

Baba akiwa na wanae hao wenye viribatumbo

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top