Featured

Loading...


Akamatwa kwa kuhifadhi sehemu za siriza wanawake 21 katika jokovu

Maafisa wa polisi nchini Afrika Kusini wameomba kupewahabari zaidi baada ya kumkamata raia mmoja wa Denmark kwa madai ya kuhifadhi sehemu za siri za wanawake 21 katika jokovu. Peter Fredekrisen,ambaye anamiliki maduka mawili ya bunduki mjini Bloemfontein anakabiliwa na mashtaka ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia ,vitisho na unyanyasaji wa majumbani. Raia huyo wa miaka 58 anadaiwa kuwapatia dawa za kulala waathiriwa kabla ya kuwafanyia upasuaji.

Bwana Fredekrisen hakutakiwa kujibu mashtaka wakati wa kusikizwa kwa kesi yake siku ya jumatatu. Brigedia Hangwani Mulaudzi kutoka katika kitengo cha upelelezi nchini Afrika Kusini ameiambia BBC kwamba mshukiwa huyo atasalia mahakamani hadi atakaporuhusiwa kuomba dhamana. Jumatatu ijayo.

Polisi wanaamini kwamba wateja wake walikuwa wakitoka katika eneo jirani la Lesotho.
Mwandishi wa BBC Milton Nkosi mjini Johannesburg amesema kuwa bwana Fredekrisen alikamatwa wiki iliopita kufuatia habari.

Sehemu hizo za siri zilipatikana katika jokovu ,zikiwa na majina ya wanawake waliotolewa na kule wanawake hao walikotoka. Dawa za kulevya na vifaa vya upasuaji vya madaktari pia vilipatikana katika nyumba yake,polisi wanasema.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top