Featured

Loading...


Hekaheka ya Mgonjwa kudai apewe damu ya mtu kwa mganga imenifikia…(Audio)

Hekaheka ya leo inatokea maeneo ya Kigamboni Dar es salaam, Geah Habib amezungumza na Mganga ambaye amekutwa na sintofahamu wakati akimtibu mgonjwa wake mwenye mashetani.
Mganga huyo amesimulia na kusema alipata mteja mwenye mashetani akitaka atolewa majini..baada ya kufika akamtaka aletewe kuku wawili ili aweze kumtoa jini huyo aliyekuwa kichwani.
Wakati anamwombea ili majini yatoke yule mgonjwa akamkimbilia kuku mmoja akamchukua na kumng’ata shingo kisha akamnyonya damu…baada ya hapo huku watu wakishangaa akamchukua kuku wa pili akafanya hivyo hivyo..
Mgonjwa alipomaliza akasema sasa anataka damu ya mtu na kuwafanya watu waliomzunguka kuhamaki … mganga akasema ngoja ampelekea mbuzi…watu wakaenda kumchukua na kumchinja lakini alikataa na kusisitiza anataka damu ya mtu.
Wakati wakishangaa yule mgonjwa akaanza kukimbia huku watu wakimkimbiza wakishirikiana na mganga na alitokomea mpaka sasa hajulikani alipo.
Msikilize mganga akimsimulia Geah Habib..

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top