Featured

Loading...


Mtikila Ampa Makavu Lowassa.....Asema ni Mgonjwa na Tapeli. Adai Watanzania Wanaugonjwa wa Unyani na Viongozi wa CHADEMA ni Wavuta Bangi (+VIDEO)

Mwenyekiti  wa  Chama  cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila ,leo  asubuhi  alikuwa Live  Star Tv  katika  kipindi  cha Tuongee  Asubuhi  ambapo  ameongelea  mambo  mbalimbali  kama;
  1. Dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu
  2. Umuhimu wa afya bora kwa wagombea uraisi
  3. Ahadi  za  CCM  na  CHADEMA  Kutoa  elimu  ya  bure
  4. Mapungufu  Ya  Edward Lowassa.
  5. Tafiti zilizofanywa na SYNOVATE  pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi
Hapo  chini  kuna  video  za  maongezi  yake  ambazo  utapata  nafasi  ya  kuzisikiliza, lakini  kabla  ya  video  hizo, haya  ni  baadhi  ya  mambo  aliyoyaongea  Mtikila.

1-Sababu iliyofanya ngombea mwenza wake kutotokea ni dharura ya ugonjwa iliyompata mkewe huko Zanzibar na amesema Jumaatatu yake alienda ofisi za tume kufuatilia akaambiwa mwenyekiti Jaji Lubuva hajafika ofisini anaumwa hivyo akawaambia naye jaji Lubuva kwa kushindwa kuhudhuria ofisini kwa sababu ileile naye akatwe.

Amesema amepeleka kesi mahakama kuu na wiki ijayo ndio inatolewa uamuzi.

2. Mtikila amesema kafungua mashtaka kuzuia Lowasa kuendelea kugombea urais kwa hoja ya afya yake akijenga hoja kwamba muajiriwa yoyote lazima apime afya yake hivyo lowasa anakosa sifa hiyo ya kupewa nchi.

3. Amesema watanzania tunaumwa epidomia, mwenyewe kauita  ni unyani, yaani tukipewa kanga kofia viroba tunashabikia tu.
 
4. Amesema wanachama na viongozi wa chadema bangi na gongo kwao ni kama sakrament.

5.Amesema Lowasa ni tapeli kwa  kuwa  alitudanganya anaenda kutununulia mvua.

6. Alipoulizwa nani anamuona anaweza kuibadili Tanzania kati ya Lowasa na Magufuli alijibu magufuli ndio sahihi japo ana mapungufu yake lkn zaidi yake yeye ndio anafaa.

Hapo  chini  kuna Video za Maongezi Yake

Video  ya  kwanza: Mchungaji Christopher Mtikila akinadi sera za chama chake

Video ya Pili: Mchungaji Christopher Mtikila akizungumzia tafiti zilizofanywa na SYNOVATE pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi katika uchaguzi mkuu.

Video ya Tatu: Mchungaji Christopher Mtikila akimkataa Lowassa kwa madai kuwa ana mapungufu mengi yaliyowazi hivyo hamuungi mkono.

Video ya Nne:Mchungaji Mtikila awachambua wagombea uraisi wa CCM na Chadema na ahadi zao za kutoa elimu bure kama vipaumbele vyao.
Video ya 5: Mchungaji Mtikila Azungumzia Afya kwa Mgombea Uraisi 


Video ya 6:Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila akizungumzia dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu.
Mpekuzi blog

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top