Wataalamu nchini Ufaransa wamesema kwamba, hatimaye wamebaini, sehemu ya
ubongo inayowapeleka watu puta wanapompenda mtu kimapenzi na kuwa kama
vichaa. Wamesema eneo la ubongo linalofahamika kama amydala, ndilo
linalohusika.
Wamebainisha kwamba, kwa kadiri eneo hilo linavyokuwa kubwa ndivyo
ambavyo mtu anavutwa kimapenzi haraka na kwa mshawasha mkubwa zaidi. Hii
ina maana kwamba, wale wanaosukumwa kupenda haraka na kuwehushwa na
kupenda, siyo hiyari yao, bali ni namna tu ubongo wao ulivyotengenezwa.
Eneo hili la ubongo huchokozeka haraka zaidi kuliko eneo lingine, pale
mtu anapoingia katika kumpenda mtu. Kabla ya ugunduzi huu, eneo hilo la
ubongo lilikuwa likifahamika kwa kazi yake ya kuwafanya wanyama kuvutana
kwa lengo la kupandana.
Kwa hiyo hamu au kiwango cha kusukumwa mtu kufanya mapenzi , au kuvutika
kimapenzi, kinategemea pia pamoja na mambo mengine, ‘saizi’ ya eneo
hilo la ubongo.
Kwa hiyo kwa wale waliokuwa wakishangazwa na baadhi ya wanaume au
wanawake wenye tabia ya kupenda sana ngono na kuwa kama vichaa kutokana
na kupenda huko naamini sasa wamepata jibu kwamba si kulogwa bali ni
tatizo la kwenye ubongo.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Monday, 28 September 2015
Post a Comment