MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki
na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la
muziki ndani na nje ya nchi.
Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha
Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya
muziki imepokelewa kwa urahisi.
“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.
“Umaarufu wa Ally Kiba umenisaidia sana kimuziki, mashabiki wengi
waliposikia mdogo wake anaimba walipata hamu ya kujua uwezo wangu na
sasa nina idadi kubwa ya mashabiki tofauti na nilivyodhani kwamba
ingekuwa ngumu kwangu,” alisema Abdu Kiba.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Thursday, 22 October 2015
Post a Comment