Featured

Loading...


Albino mwingine ashambuliwa pwani ya Tanzania

Mwanamume mwenye ulemavu wa ngozi anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana eneo la Mkuranga, Tanzania.

Shambulio hilo dhidi ya albino huyo limetokea siku chache tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika. Kumekuwepo na wasiwasi kwamba huenda watu wenye ulemavu wakashambuliwa zaidi kwani baadhi ya watu wanaoamini katika ushirikina hudai viungo vyao vinaweza kumpa mtu bahati.

Wanaume watatu wanadaiwa kuingia kwa nguvu nyumbani kwa Mohammed Said, 35, katika mji huo ulio katika mwambao wa Pwani kilomita 42 kutoka mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam. Walimkata kichwani kwa upanga wakati wa shambulio hilo Jumatano usiku. Polisi wamesema wanawasaka watu hao.

Serikali mapema mwaka huu ilikiri kwamba huenda wanasiasa wanachochea hitaji kubwa la viungo vya binadamu kwani ripoti zilionyesha visa vya mashambulizi ya albino huongezeka wakati wa uchaguzi.

Januari mwaka huu, serikali ilipiga marufuku waganga wa kienyeji na takriban watu 200 wamekamatwa, mwandishi wa BBC Sammy Awami anasema. Uchaguzi mkuu nchini Tanzania utafanyika Jumapili Oktoba 25.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top