Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati)
akiwa na makamishna wa tume hiyo wakati akisisitiza jambo kwenye mkutano
wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.
Makamishna wa Tume hiyo wakiwa bize kwenye mkutano huo.
Jaji mstaafu John Mkwawa (kushoto) akiandika mambo yaliyokuwa yakiendelea wakati wa mkutano huo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Giveness Aswile
akiwa makini kusikiliza yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo.
Moja wa wahariri akimuuliza swali mwenyeti wa tume, Jaji Lubuva kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25.
Mhariri
Mkuu wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Daniel Mbega akitoa ushauri wa
kiusalama kwenye mkutano huo kuhusu masuala mbalimbali kuelekea uchaguzi
mkuu ambapo Jaji Lubuva alimshukuru na kusema ameupokea.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Jaji Mstaafu Damian Lubuva amewatoa wasiwasi wananchi kwamba uchaguzi
mkuu wa madiwani, wabunge na rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25,
mwaka huu utakuwa wa amani.
Lubuva alitoa kauli hiyo leo katika mkutano
baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo mbalimbali ambao umefanyika
kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.Akizungumza huku akiwa
sambamba na makamishna wa tume hiyo, Lubuva alisema tume yake imejiandaa
vizuri kwa uchaguzi huo.
“Mtu au chama chochote kisihofu kuhusu
uchaguzi kwani utakuwa wa amani na utulivu kwa nchi nzima, kwani imeweka
mazingira mazuri kwa wananchi kupiga kura bila tatizo,” alisema Lubuva.
Aidha, mwenyekiti huyo ametoa rai kwa wananchi mara wakimaliza zoezi
la kupiga kura warudi majumbani mwao kusubiri matokeo kutangazwa na
mamlaka husika.
(HARUNI SANCHAWA WA GPL)
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Thursday, 1 October 2015
Post a Comment