Hali
ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya
CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif
Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All
Mohamed Shein
Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya
vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais.
FFU
wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike
lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi
ilipotumika
~Mpekuzi blog
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
SIASA
on Monday, 26 October 2015
Post a Comment