Featured

Loading...


UKAWA, CCM SASA LALA SALAMA

Magufuli akiwa kwenye moja ya kampeni zake.
VITA vya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu inazidi kukolea na kwa mujibu wa habari kutoka kambi mbili pinzani za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo vyama hivyo vinaanza ngwe ya lala salama.
Chanzo cha habari kilicho karibu na timu ya kampeni ya CCM, kimesema chama chao ndiyo kama kinaanza rasmi shughuli hiyo leo, kwani kinategemewa kuanza kutumia ‘silaha’ nzito ili kuhakikisha kinausambaratisha upinzani.
“Jamaa wana helikopta zipatazo tano ambazo zimegawanywa kwa wana kamati kushambulia maeneo mengi kadiri wanavyoweza, lengo ni kuyafikia maeneo ya ndani na ambayo kidogo yanakuwa vigumu kupitika kwa njia ya barabara, katika siku hizi zilizobaki, kila eneo litafikiwa,” kilisema chanzo hicho.
Wakati kukiwa na taarifa hizo kutoka chama tawala, Ukawa nao wanasemekana kuandaa ‘majeshi’ yao ya maangamizi kwa kutumia jumla ya helikopta saba ambazo zitaanza kazi ya anga kwa anga ili kuwafikia wapiga kura katika hatua hii ya lala salama.
“Ni kweli, zimetayarishwa helikopta saba zitakazoanza zoezi kali la kutafuta kura katika hatua za lala salama, Hizi zimegawanywa kwa makamanda tofauti wa kuongoza mapambano, nina uhakika Lema (Godbless, Arusha) atakuwa nayo moja, Wenje (Ezekiel, Nyamagana), Msigwa (Mchungaji Peter, Iringa), Lissu (Tundu, Singida) kila mmoja atakuwa na chopa ya ‘kumwaga sumu’ kila kona ya Tanzania,” alisema kiongozi mmoja wa umoja huo, aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa siyo msemaji.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top