Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya
mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani
Njombe.
Hata hivyo, kikosi cha Zimamoto mkoani humo kimefanikiwa kuuzima moto
huo usiku wa kuamkia leo ambapo polisi wamesema uchunguzi wa tukio hilo
unaendelea.
Kwa mujibu kikosi hicho, mabanda mengine yamesalimika katika ajali hiyo.
Hata hivyo, kikosi hicho kimewataka wananchi kuwa watulivu wakati huu
wakisubiri matokeo ya uchaguzi ambayo yanatarajiwa kutolewa muda wowote
mkoani humo.
Kwa mujibu wa kituo cha luninga cha AzamTV, polisi mkoani humo wamesema
uchaguzi mkoani humo ulifanyika kwa utulivu na hsata moto huo
ulipotokea, wananchi wengi walikuwa majumbani mwao.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Sunday, 25 October 2015
Post a Comment