Featured

Loading...


Bunge la Uganda limezinduaa kituo cha kuwanyonyesha watoto

post-feature-image
Bunge la Uganda limezinduaa kituo kipya ambapo wabunge pamoja na watumishi wa bunge watakuwa wanakitumia kuwanyonyesha watoto. Hiki ndicho kituo cha kwanza nchini Uganda kuweka kituo kama hicho katika nafasi za kazi.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango anatuaarifu zaidi. Watoto wanapiga makelele wakicheza ndani ya kituo walichoita cha kuwanyonyoshea watoto ambapo kuna vifaa mbalimbali vya kuwafurahisha watoto hata na wale ambao ni wachanga lakini hawanyonyeshi.

Miongoni mwa vitu vya kuchezea kama vile puto za rangi tofauti lakini pia kuna televisheni ambako kuna video za katuni.

Kituo hiki ni cha manufaa kwa wanaoendesha kazi zao mahali hapo, wabunge pamoja na watumishi.
Josephine Watera, mfanyakazi bungeni, anasema kuwa alikabiliwa na wakati mgumu alipohitajika kuja ofisini wakati wa likizo yake akiwa mjamzito.

Lakini kwa kuwa kituo hiki kimefunguliwa sasa anaweza kuendelea na kazi zake bila bughudha akijua kuwa mtoto wake atakuwa karibu naye.

''nikiwa hapa naye ninajua kuwa amepata kitu cha kula ikilinganishwa na hali ya kutegemea jibu la simu yaani unampigia simu mtu nyumbani kumuuliza ikiwa mtoto ameshakula -jibu litakuwa ndio hata ikiwa hajala.''

''Lakini hapa nitajua kuwa mtoto amepata maziwa na nikirejea katika mmeza yangu nitakuwa mtulivu kabisa.'' Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga, amesema kuwa taasisi hiyo inaweka mfano wa kuigwa na taasisi zote za serikali na hata za kibinafsi nchini humo.

''Naomba wafanya kazi watumie vilivyo kituo hiki ili kusiwe na kisingizio hiki wala kile.''
''Unakumbuka enzi hizo wakati baadhi ya wafanyakazi wakija na watoto wachanga na kuwaacha kwenye maegesho siku mzima? anauliza bi Kadaga.

''Na tungeshtakaiwa kwa kupuuza haki za watoto wa Uganda kwa kubaki ndani ya jua siku nzima.'' anasema bi Kadaga.

Yaya wa Uganda hawana ujuzi mwingi. Uelewa wa wengi kuhusika na utoaji wa huduma hiyo au kumshughulikia mtoto mchanga kama vile wa miezi miwili ni finyu mno likizo ndefu kwa mama mjawazito inayotolewa na kampuni nyingi ni karibu siku 90.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top