Featured

Loading...


Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa

Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa

Baada ya Irene Uwoya kushindwa kupata nafasi ya vitu maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV wamemshauri msanii huyo kuachana na masuala ya siasa na kurudi katika tasnia ya filamu. na kuendelea na kazi yake hiyo ya sanaa ambayo imempa jina kubwa na heshima zaidi.
Mashabiki hao wamepokea tofauti taarifa ya kukatwa kwa jina la Irene Uwoya katika katika vitu maalumu, wapo ambao wameonyesha kuguswa na kuumia Irene Uwoya kushindwa ingawa lipo kundi lingine ambalo linaonyesha kufurahia taarifa ya kushindwa kwa msanii huyo ambaye alikuwa moja ya watu ambao walikuwa wakifanya kampeni za uchaguzi kupitia Kundi la Kibajaji.
Yafuatayo ni maoni mbalimbali ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV kwa Irene Uwoya.
Neema Mgwale: “Hahahaa afadhali kashindwa maana alivyokuwa anashoboka na kuwatukana wasanii wa UKAWA na nilimuona anawaambia wasanii wa UKAWA eti wamemsaliti Jakaya Kikwete kwani alikuwa anawaita Ikulu kila siku yaani hapo ndo nilimwona hafai sababu anathamini kula na rais Ikulu kuliko maisha magumu ya watanzania aendage tuu siasa haimfai”.
Kwa upande wa shabiki mwingine alikuwa na haya ya kusema. “Amshukuru Mungu wake na aamini kuwa kila likuepukalo lina kheri na yeye, kwa sababu CCM inahitaji kubadilisha muelekeo wa bendera yake na kwa sababu hiyo watu wa mzaha mzaha mwaka huu hawana nafasi miaka hii 5 ndio Interview ya CCM kuangalia kama tuwape tena au tusiwape kabisaa na ukumbuke kwenye Interview hatumwi mtoto” ameandika Enock Kayagambe Yahaya.

Chanzo: EATV

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top