Baada ya kudaiwa kuachana siku chache zilizopita, rapper Tyga na mrembo
kutoka kwenye familia maarufu ya The Kardashians, Kylie Jenner
walionekana pamoja baada ya tuzo za ‘American Music Awards’ Jumapili
iliyopita, ikiashiria kuwa wamemaliza matatizo waliyokuwa nayo
Tyga aliyekuwa amevaa suti ya blue pamoja na Kylie aliyekuwa amevaa
kivazi cheupe walionekana wakiwa wameshikana mikono baada ya tuzo hizo.
Wakati wakipanda gari ili kuelekea kwenye after party ya Justin Bieber,
paparazzi mmoja alimuuliza Kylie kama yeye na Tyga watafunga ndoa, na
jibu lake lilikuwa ‘YES’ huku akiingia kwenye gari ba boyfriend wake.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 24 November 2015
Post a Comment