Featured

Loading...


Mbwana Samatta katangazwa kuingia katika Top 10 ya wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika 2015, hii ni list kamili


Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF huwa linautamaduni wa kutoa Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kila mwaka, kama ambavyo Shirirkisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA wanavyokuwa wanaandaa Tuzo ya mchezaji bora Ulaya, basi Afrika huwa wanaandaa Tuzo hizo kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika na nje ya Afrika

November 2 wametangaza Top 10 ya majina yaliofanikiwa kuingia katika Top 10 hiyo kwa wachezaji wa ndani na nje ya Afrika. Good news ni kuwa mtanzania Mbwana Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ndio mchezaji pekee kutoka Afrika Mashariki aliyekuwemo katika list hiyo, Hii ni List ya majina 20 ya wachezaji waliochaguliwa kuingia katika Top 10 ya wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika na Top 10 ya wachezaji wanaocheza nje ya Afrika.


Hii ni Top 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wanaocheza ndani ya Afrika

Abdeladim Khadrouf (Morocco & Moghreb Tetouan)
Baghdad Bounedjah ( Algeria & Etoile du Sahel)
Felipe Ovono (Equatorial Guinea & Orlando Pirates)
Kermit Erasmus (South Africa & Orlando Pirates)
Mbwana Aly Samatta (Tanzania & TP Mazembe)
Mohamed Meftah ( Algeria & USM Alger)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Robert Kidiaba Muteba ( DR Congo & TP Mazembe)
Roger Assalé (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)
Zineddine Ferhat (Algeria & USM Alger)

Top 10 ya wachezaji wanaocheza nje ya Afrika

André Ayew (Ghana & Swansea)
Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Mohamed Salah (Egypt & Roma)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Sadio Mané (Senegal & Southampton)
Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
Yacine Brahimi ( Algeria & Porto)
Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)

Namna ya kumpata mshindi wa tuzo hiyo ni kwa njia ya kupiga kura kwa makocha wa timu za taifa au wakurugenzi wa ufundi wa mashirikisho wanachama wa CAF. Tuzo hizo za mchezaji bora wa Afrika kwa 2015 zitatolewa Alhamisi ya January 7 2016 Abuja Nigeria.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top