JESHI
la polisi Mkoani Singida limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa na
vyama vya siasa vilivyosimamisha mgombea wa Urais chini ya mwavuli wa
UKAWA,kufanyika nov,03,mwaka huu kwa nchi nzima kupinga matokeo ya
uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi nchini (NEC).
Akizungumza
na Waandishi wa Habari ofisini kwake jana,kamanda wa polisi Mkoa wa
Singida,Kamishna Msaidizi wa polisi (ACP) Thobias Sedoyeka , alisema
pamoja na kupinga matokeo hayo yaliyotangazwa,vyama hivyo vinaitaka pia
mamlaka husika kumtangaza mgombea wao katika Uchaguzi,Bwana Edward
Lowasa wakiamini kuwa ndiye mshindi wa kiti cha Urais.
AIDHA Kamishna Msaidizi wa polisi huyo alifafanua
kwamba uchunguzi unaonyesha kuwa maanadamano hayo yatashirikisha
makundi mbalimbali ya watu,hususani vijana zaidi na kupita sehemu
mbalimbali za Mji kabla ya kuhitimisha katika Ofisi walizolenga.
KWA
upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )
Mkoa wa Singida,Bwana Shabani Limu amekiri kupokea maagizo kutoka ngazi
za juu za chama hicho,na kuongeza kuwa mpaka sasa bado hakuna mafanikio
ya kufanyika kwa maandamano hayo kutokana na makamanda wa polisi wa
wilaya zote kutoyaruhusu kwa kuhofia uvunjifu wa amani.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment