Featured

Loading...


Linah Sanga, Feza Kessy jukwaa moja na Davido Nigeria leo

post-feature-image
WANAMUZIKI nyota wa Bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga ‘Linah Sanga’ na Feza Kessy, leo watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria, katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival, litakalofanyika Lagos, Nigeria.

Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii wakali nchini humo kama vile Davido, Kiss Daniel, Iyanya na  Olamide, huku wengine wakiwa Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle na Phyno.

Wanamuziki hao waliondoka nchini Jumatano usiku chini ya Doreen Noni, ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni mpya ya kusimamia wanamuziki nchini, Panamusiq Limited, ambaye alisema kampuni yao ndiyo iliyowawezesha wanamuziki hao kuweka historia kwa kuwa wanamuziki wa kwanza nchini kushiriki katika tamasha.

“Tumejiandaa kufanya kweli katika tamasha hilo, Linah na Feza walikuwa katika mazoezi makali ya kuimba, kucheza hasa kwa kutawala jukwaa, lengo ni kuacha historia katika tamasha hilo,” alisema Doreen.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top