
Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’
Stori: Gladness Mallya
IMEFICHUKA! Ile mimba ya mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo
‘Kidoti’ iliyokuwa ikisemekana ni ya Mbongo-Fleva, Ali Saleh Kiba
inadaiwa kuharibika kwa kuchoropoka kisa kikiwa ni mazoezi makali
aliyoyafanya hivi karibuni.
Kidoti na Ali Kiba
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba, Jokate kwa sasa hana
ujauzito tena kwani ulichoropoka kufuatia mazoezi makali ya kujiandaa na
shoo aliyofanya ya Nyama Choma Festival kwenye Viwanja vya Leaders Club
Kinondoni jijini Dar iliyosapotiwa na mpenzi wake huyo.
“Kama mlikuwa hamjui kitumbo cha Jojo (Jokate) kilichoropoka kutokana
na mazoezi makali ya shoo aliyoifanya hivi karibuni ambapo kwa sasa
anaendelea vizuri na anafanya kazi zake kama kawaida bila ujauzito,”
kilinyetisha chanzo hicho.
Baada ya kupata habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Jokate na
kumuuliza kuhusu ujauzito wake ambapo alijibu kwa ufupi: “Kwa sasa mimi
sina mimba.”
Hata hivyo, chanzo hicho kiliendelea kueleza kwamba, kwa sasa Kiba
anajipanga upya katika masuala hayo ya kupata mtoto na mrembo huyo.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Friday, 18 December 2015
Post a Comment