
Kuna utafiti niliusoma siku moja kuhusu wanaume wafupi, na walisema
wanaume wafupi wana mapenzi ya kweli na ya dhati kuliko wanaume warefu,
kitu ambacho siwezi bisha sababu, wanawake wengi huwa hawapendi kutoka
na wanaume wafupi kwahiyo inawachukua sana muda kupata mwenza na lazima
wawapende na wawape mapenzi ya kweli wanawake zao ili wasiwaache kwa
sababu wanawake wengi wanapenda mwanaume warefu na wengi wana mvuto
kuliko wafupi.
Wanawake wengi wanapenda kutoka na wanaume ambao wamewazidi urefu hata
kidogo, kuliko kuwa na mwanaume ambaye ni mfupi kuliko wao,wengi
wanasema hii inaleta picha mbaya au muonekano mbaya wakiwa wanaongozana
wanaita (not Marching), lakini kuna sifa nyingine za wanaume wafupi
wanawake wengi wanasema zinawakera kama,
Wivu
Inasemekana wanaume wafupi wana wivu wa kupindukia na sio kama wanaume
wengine warefu hawana wivu ila wao wivu wao unapitiliza kiasi cha kukera
kwani wivu ukizidi sana ni kero katika mapenzi.
Sifa
Wanaume wengi wafupi wana sifa sana, kiasi cha kukera wanajisifia sana,
na wanataka sana kuonekana, kama wapo eneo Fulani wakiingia sehemu
mtajua kama kuna mtu kaingia sababu ya sifa zao na maneno yao japokuwa
pia wana sifa moja ya kuwa wachechi sana.
Gubu
Hapa sasa ukichanganya na wivu ni balaaa maana mwanaume mwenye gubu ni
zaidi ya mwanamke muongeaji, Gubu ni ile hali ya kukosoa kila kitu,kila
kitu kibaya, yeye haridhiki na chochote na hata utaonekana huwezi
chochote akiwa karibu, hilo gubu au hata kama kila kitu kipo sawa
atatafuta sababu ya kuongea tu.
Wanajidai Wanajua kila kitu. ( Much know)
Much knows, hapa bwana unakutana na mtu kila kitu anajua yeye, ni kero
sababu akiwa mbele za watu atataka kila mtu ajue anajua nini kama
inaongelewa siasa, mpira au mapenzi yeye fundi wa kila kitu, kitu
ambacho kiukweli kinakera sana wakati mwingine.
Muonekano/ Mvuto
Wanawake wengi wasema wanaume wafupi hawana mvuto sana, kama wanaume
warefu, kwahiyo hiyo ni moja ya sababu ya wao kutotaka kutoka na wanaume
wafupi, japokuwa sio wanaume wote wafupi hawana mvuto. Japokuwa
inasemekana siku hizi hakuna anaeangalia urefu wako uzuri wako watu
wanangalia sana mfuko wako tu, hayo ni maneno ya mitaani watu wanaongea.
Mimi binafsi sijui kama ni hali halisi.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Wednesday, 23 December 2015
Post a Comment