Featured

Loading...


Wanawake wengi hufikiri kuwa wanaume wote wanatabia hizi

post-feature-image
Hakuna  maana moja ya kumuelezea mwanaume, ila kwa aliye mwanaume nadhani anaelewa nini maana ya kuitwa mwanaume, mara nyingi wanawake huwa wanaonekana wao ndio wanaonewa sana na wanaume na ni vigumu sana kujua manyanyaso ya wanaume sababu wengi huwa hawayaongelei, wanawake wengi huwaongelea wanaume kwa ujumla yaani kuwafananisha wote katika kundi moja. lakini kuna mtu na mtu kila mtu ana tabia zake na wanaume wana tofautiana, sina maana ya  kutetea haki za wanaume ila kuna fikira potofu kuhusu wanaume ambazo watu wanatakiwa kuzitoa akilini.


Mwanaume halii.

Mwanaume akionekana analia ataitwa dhaifu, ama hajakuwa bado mtoto, lakini ukweli ni kwamba hata wanaume wana hisia wana umia na wana mioyo kama wanawake, wao sio maroboti  japokuwa inachukuliwa kuwa mwanaume anayaeweza kuvumilia maumivu ndio jasiri bila kujua sio kila anaye lia kwa machozi ni mnyonge. Kuna usemi wa mwandishi Malorie Blackman alisema “Boys don’t cry, but men do.”  katika kitabu chake cha  Boys Don’t Cry.


Wanaume Wakorofi.

Wapo wanawake wengi wameumizwa na vitendo vya kikatili kutoka kwa wanaume zao, ndugu zao na marafiki, kupigwa na kuteswa na wanaume zao, lakini si kweli wanaume wote wakorofi na wanadharau wanawake au watoto, wapo wanaume wanaojali na kuheshimu wanawake pia.kuna mtu alisema ukitaka kujua mwanaume mwenye hekima tazama heshima yake na mapenzi yake kwa mama yake.


Wanaume hawafanyi Kazi za Nyumbani.

Kazi za nyumbani sikuzote huonekana ni za wanawake tu,ni mara chache usikie baba anaandaa chakula kwa ajili ya familia yake  hata kama baba huyo amesomea Mapishi na ana Degree, lakini wapo wanaume wanaosaidia wake/wapenzi wao  wakiwa nyumbani, kama ni kufua kupika na kuosha vyombo wapo wanaojua nini maana ya kusaidia kazi za nyumbani.


Mwanaume ndiye Anaepanga Maamuzi juu ya Mwanamke.

Sikataii wapo  wanaume wa aina hii, wao wanapanga kila kitu, yeye ndo atakwambia fanya hivi na usifanye hivi kitu ambacho si kila mwanaume anafanya, wapo wanaojali maamuzi ya wenza wao na kuheshimu mambo yao, tusiishi kwa mazoea.


Wanaume Wanapenda Michezo.

Hapa sanasana mpira wa miguu, nilishangaa siku moja nilimuuliza mshikaji mmoja anapenda timu gani ya mpira wa miguu alinijibu kirahisi tu ye si mpenzi wa mpira wa mguu , nilishangaa  lakini ukweli wapo wanaume ambao sio wapenzi wa mpira wa miguu, ni kawaida kukutana na watu tofauti.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top