Featured

Loading...


Waziri Kitwanga AKutana na Waandishi wa Habari Leo na Kuongelea Kuhusu Madawa ya Kulevya,Ugaidi na Wananchi Kubambikwa Kesi


Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam.
Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi kikubwa alichozungumza ni kuhusu ugaidi, ubambikaji kesi kwa wananchi, matumizi ya TEHAMA pamoja na madawa ya kulevya.
Mikakati ya kupambana na dawa za kulevya hapa nchini..“Nimepata maelezo ya kutosha kuhusu kinachoendelea…kitakachotusaidia  ni lazima tuwe na mfumo mzuri wa kuhakikisha madawa ya kulevya hayaingii katika nchi yetu, kwangu orodha ya wahusika hainisadii, kinachosaidia ni kuhakikisha madawa hayaingii na yale yaliyopo yanatafutwa na kukamatwa na wahusika wanafikishwa katika vyombo husika”..Charles Kitwanga.
“Tumekubaliana Tutaanza utekelezaji wa mara moja, kuhakikisha tunaongeza nguvu kuhakikisha mfumo mzima wa usambazaji na uingizaji tunauvunja”.
Askari Polisi kukosekana katika bandari ya Dar es salaam...”Tumelijadili na tutajadiliana na wenzetu tuone ni utaratibu gani utatuwezesha kuhakikisha bandari yetu inakuwa salama, kama kuna askari amekosea anachukuliwa hatua na si kuvunja mfumo mzima”…
Ubambikaji kesi wananchi..“Tumelijadili na wenzangu Polisi wamejipanga vizuri kuhakikisha kwamba kabla ya mashtaka tuhakikishe kwamba mtu aliyekamatwa ashtakiwe kwa kosa alilolifanya na si kupewa makosa ya kufikirika” na hili tutashirikiana na wenzetu wa sheria na katiba”.. .
Msongamano wa magari Dar es salaam na kwingineko..“Tutaboresha zaidi ili kuhakikisha haya malalamiko ya wanannchi yanakuwa hayapo”.
Matumizi ya TEHAMA...”Matumizi ya teknolojia ndani ya jeshi ikiwemo CCTV, matumizi ya kusajili magari, leseni, ulipaji faini kwa kutumia tehama..Haya tumeyajadili na yote yatafanyiwa kazi kwa wakati mmoja kisha kutolewa ufafanuzi…Charles Kitwanga
Idadi ya askari waliopo na mikakati ya kuwapati makazi...”Tuna idadi ya askari 45,000 ambao bado hawatoshi, wanaokaa katika nyumba za Polisi ni kama 10,000 tu, tuna upungufu wa nyumba kama 35,000, tuna mpango wa kujenga nyumba nyingine kama 5,000, tutajenga polepole kuligana na uwezo wetu, nia ni kuhakikisha a skari wote wanakaa sehemu moja ili kurahisisha ufanyaji kazi”..

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top