Wiki iliyopita kupitia mtandao wa Instagram,Blogger Mange Kimambi
alimshambulia kwa matusi Aliyekuwa Miss Tanzania Hoyce Temu kwa kisa
ambacho hata hakihusiani nae.Vilevile katika kashfa na tuhuma hizo
walihusishwa hata watu wasiohusika katika ugomvi wa Mange na Ndugu yake
Hoyce kinyume na sheria.
Hoyce Temu alieleza kusikitishwa kwake na maneno ya kashfa yasiyokuwa na chembe ya ukweli yaliyoelekezwa kwake na blogger huyo
Wadau mbalimbali walitoa maoni yao akiwepo Mratibu wa Miss Tanzania
Hashim Lundenga aliyelaani vikali tabia hiyo iliyofanywa na Blogger huyo
kuchafua majina ya watu kwa kashfa na tuhuma za uongo kwa malengo
yasiyoeleweka.
Alisema inasikitisha kuona mtu ambaye anaisaidia jamii kwa hali na mali
akitungiwa kashfa za uongo na kuchafuliwa jina pasipo sababu yoyote ya
msingi.
Vilevile waziri wa mambo ya ndani ameonya kuwa Jeshi la polisi
litachukua hatua kali bila huruma na bila kujali mhusika alipo kwa wale
wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya huku msemaji wa jeshi hilo
akitoa msimamo mkali dhidi ya wale wote wanaotumia mitandao vibaya.
Amewataka wote ambao wanachafuliwa kwa njia ya mitandao waripoti TCRA au
jeshi la polisi kwa hatua kali bila kujali jiografia ya makazi ya
wahusika au mipaka.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Wednesday, 24 February 2016
Post a Comment