Featured

Loading...


JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI (MCHINA) KUFIKIA JUNE 16, 2016 SIMU FEKI KUFUNGIWA, HAKIKI SIMU YAKO HAPA>>

 
Njia rahisi kujua kama simu yako ni orijino piga *#06# kupata IMEI namba, kisha tuma IMEI kwenda namba 15090 ni BURE kwa Tanzania hii ni kutoka TCRA.

NJIA RAHISI ZAIDI
Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonyesha namba ya pekee (serial
number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) namba ambayo ni lazima ziwe namba 15 au zaidi, na nilazima ianze na namba 35.
1. Sasa angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu sehemu ambayo betri inakaa (battery base). Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni origino.

2. Simu yaweza kuwa origino lakini katika viwango nya ubora(qualities ) tofauti . Sasa tunaanza kuchambua  IMEI ili kujua ubora. Katika namba hizo namba ya saba(7) na ya name(8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.
• Kama namba ya saba naya nane ni 00 inamaana kuwa simu yako imetengenezwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 01 au 10 inamaana simu yako imetengenezwa Finland na ina ubora wa juu pia.
• Kama namba ya saba na y a nane ni 13 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Azerbaijan na ni hatari sana kwa matumizi na afya yako.
• kama namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates hivyo ina kiwango cha chini sana.
• Kama namba ya saba naya nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 inamaana simu yako imetengenezwa China lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00 , 01 au 10.
• Kama namba ya saba naya nane ni 05 au 50 inamaana simu yako imetengenezwa labda Brazil ama USA ama Finland.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 06 au 60 simu yako imetengenezwa Hong Hong, China au Mexico.
• Kama namba ya saba nay a nane ni 08 au 80 simu yako imetengenezwa Germany na ina ubora wa kawaida.

Unaweza pia kuangalia simu uliyonayo sasa kujua kama unatumia simu origino au feki na yenye kiwango gani.
Utafiti huu unatoka katika nyanzo nya kuaminika na kama una swali au maoni tafadhali andika comment hapa chini tutakujibu haraka iwezekanavyo

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top