Baadhi ya vijana ambao wanafanya kazi ya kuosha magari wamefunguka na
kuwataja wasanii ambao wamekuwa wanachungulia sana pesa zao kiasi kwamba
hata wakiona gari zao wanaona uvivu hata kuziosha kwa kuwa wanatambua
watapata mpunga mbuzi.
Vijana hao ambao wapo katika Parking ya magari ya wageni na wafanyakazi
katika ofisi ya EATV wamedai Mzee Yusuph ni moja kati ya wasanii ambao
ukiosha gari lake akikupa pesa sana ni buku tatu tena anakuchana makavu
kuwa hiyo ndio bei wanayoosha hata mtaani.
Wasanii wengine aliyetajwa kuwa na mkono mfupi ni Kassim Mganga, Madee pamoja Chege Chigunda.
Mbali na orodha hiyo vijana hao wamefunguka na kusema wapo baadhi ya
wasanii wanapoona magari yao wanakuwa na furaha na kuyagombania kwa
madai kuwa wasanii hao wanatambua kuwa hata wao wapo kwenye utafutaji wa
riziki hivyo huwa wanatoa mpunga mrefu kidogo.
Wasanii hao ni pamoja na Ali Kiba ambaye wanasema yeye akifika hata kama
gari lake safi atawaambia waoshe na akiingia mfukoni lazima atawatoa
elfu kumi au ishirini.
Msanii wa pili kupewa sifa hizo alikuwa Vanessa Mdee wanasema hao ni
kati ya wasanii ambao wana utu na kujali ndiyo maana wanakuwa wanawapa
mkwanja mrefu.
"Yaani mimi nikiiona gari ya Ali Kiba na Vanessa Mdee kwanza nafurahi
maana najua ni neema, wasanii hawa hata wakija na gari zao zikawa safi
watakwambia osha tu, na mwisho wa siku watakuachia elfu kumi au
ishirini, yaani Mungu azidi kuwapa maisha marefu, na wasanii wengine
ambao nao huwa wanatoa pesa ndefu tukiwaoshea magari yao ni pamoja na
Jux, John Makini, Niki wa Pili pamoja na Barnaba Boy" Amesema kijana
muosha magari.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment