Featured

Loading...


RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI WALIOSAFIRI KILOMITA 830 KUTOKA MBEYA KUJA KUMPONGEZA IKULU, DAR

Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) (kulia) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27) akionesha uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix. yeye mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
 Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kushoto ) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) na Bw. John Mwaipyana, Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.


PICHA NA IKULU

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top