Featured

Loading...


Aunt azua minong’ono ukumbini usiku

auntezekiel1Staa wa filamu za Kibongo Aunt Ezekiel.
STAA wa kiwango cha juu kupitia filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, kwa mara ya kwanza tangu ajifungue, amezua minong’ono ukumbini.
Mpango mzima ulishuhudiwa na gazeti hili usiku kwenye Ukumbi wa Ngome Kongwe, Zanzibar ambapo kulikuwa na Tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF) ambapo Aunt alitinga akiwa na baadhi ya mastaa wenzake huku baadhi ya watu wakishangaa na kunong’ona kuwa mtoto wake bado ni mdogo iweje awe ukumbini  badala ya kuwa naye muda huo.
“Mmmmh huyu siyo Aunt kweli? Jamani mtoto wake mbona bado mdogo sana kwa nini amekuja ukumbini usiku wote huu?” alihoji mmoja wa watu waliokuwa ukumbini humo.
Amani lilipozungumza na Aunt kuhusiana na minong’ono hiyo alisema: “Niko makini san-a kwa upande wa mtoto, hapa nilipo nikitoka nje tu naona hoteli niliyofikia na mwanangu hivyo hakuna shida na siwezi kuja na mtoto hapa kwenye mkusanyiko wa watu wengi,” alisema Aunt

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top