Featured

Loading...


Batuli: Naumia Vijana Kuteketea na Dawa za Kulevya

Msanii wa Bongo movie Batuli ameonyesha kuumizwa mno na vijana ambao wanajiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na kupelekea kuharibu maisha yao pamoja na ndoto zao.
Batuli ameeleza hayo kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii wa Twitter alipokuwa akiwasihi watu kuunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania, ili kuokoa maisha ya vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.Batuli: Naumia Vijana Kuteketea na Dawa za Kulevya
Tatizo la dawa za kulevya limekuwa janga kubwa kwa kizazi cha sasa ambapo wahanga wakubwa wa tatizo hili ni vijana wengi wao wakionekana kufuata mkumbo huku wengine wakiyatumia kwa kisingizio cha hali ngumu ya maisha.
Hali hiyo ndio imemsukuma muigizaji huyo wa Bongo movie kusema anaumia sana anapopita mitaani na kuona kundi la vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa ikijihusisha na utumiaji wa madawa hayo ya kulevya jambo ambalo linamuumiza kama kijana na pia kama mzazi.
"Mimi ni kijana na pia ni mama nipitapo mitaani na kuwaona vijana wenzangu wameteketea na madawa ya kulevya naumia sana", Batuli aliandika hivyo kwenye Twitter yake.
EATV.TV

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top