Featured

Loading...


Hii Ndiyo Sababu Inayomfanya JB Kuonekana Anacheka Kila Saa

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ameeleza kuwa mkeo ndiyo sababu ya yeye kuonekana mwenye furaha wakati wote.Hii Ndiyo Sababu Inayomfanya JB Kuonekana Anacheka Kila Saa
JB alifunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram , ambapo aliweka picha hiyo hapo akiwa na mkeo nakuandika;
Kupenda si kumiliki tu bali kumfanya umpendae awe na furaha ndio maana halisi ya kupenda....kusema huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu nimefunga nae pingu za maisha haitoshi....asante kwa kunifanya niwe nafuraha na kuweza kufanya kazi zangu ...bila gubu pamoja na ugumu wa kazi zetu maana kazi zetu ngimu....watu wengi wanauliza mbona wewe hujui kununa kila saa unacheka...jibu ni huyu dada...asante....sijawahi kuacha kukupenda...

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top