Featured

Loading...


Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi makubwa ya staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu siku ya jana alipokuwa akirudi kutoka Singinda ambako alikwenda kwaajili ya kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu kupitia cha cha mapinduzi (CCM).Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wema aliweka picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa mashabiki wake ndiyo siri ya yeye kuendelea mbele.Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa 1
Kama umewahi kujiuliza: kwanini Wema Sepetu hakati tamaa? Kwanini hachoki pamoja na changamoto zote anazokumbana nazo?
Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa 2

Jibu liko kwenye hiyo picha.

Thank you so much my fans, nawapenda na ninajua mtaniunga mkono tena hivi karibuni nikifanya jambo ambalo limekua ndoto yangu ya muda mrefu. Asanteni Sana tena sana na nawapenda Sana
Bigger things loading...
Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa 3

…VijanaTujitume
..HuuNdioMwakaWetu
…BeWemaFanyaWema
Jionee picha hizo hapo juu.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top