Featured

Loading...


Sandra Akimbia Ukata Bongo Muvi!

MUIGIZAJI aliyekuza jina kupitia Filamu ya Misukosuko, Salama Salimin ‘Sandra’ amesema sababu iliyomfanya kukaa kimya kwenye uigizaji ni malipo na kipato kidogo hivyo kuamua kutafuta riziki kwa njia nyingine (hakuzitaja).Sandra Akimbia Ukata Bongo Muvi!
Akizungumzia maisha yake kwa sasa, msanii huyo asiye na makuu alisema hamaanishi kazi ya sanaa haina masilahi, isipokuwa kwa upande wake aliona hapati kile alichokihitaji licha ya kuwa na kipaji halisi cha uigizaji.
“Unajua ni lazima uwe na mikakati mingi katika kutafuta maisha, huwezi kung’ang’ana na kitu kimoja tu, kwa upande wangu filamu hazinilipi kama ninavyohitaji, ndiyo maana nikaamua kukaa pembeni kwanza, lakini simaanishi kuwa kazi ya sanaa haina masilahi, la hasha ila ni maoni ya upande wangu,” alisema Sandra.
Chanzo: www.globalpublishers.co.tz

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top