Featured

Loading...


LOWASSA, DK. SLAA WAZUA…

Mwandishi wetu
Mambo ya uchaguzi! Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa wamezua jambo baada ya kusababisha mpasuko miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Kinondoni, Dar wakati wa zoezi la uchukuaji wa fomu za kuwania nafasi hiyo, baadhi ya wanachama hao walionekana kutofautiana juu ya nani hasa kati ya wanasiasa hao wawili alistahili kusimamishwa.
“Lowassa angekaribishwa na kuwa mwanachama wa kawaida tu, hii nafasi ilistahili kuchukuliwa na Dk. Slaa kwa sababu siku zote tunamuamini kama kiongozi makini na mwenye maono,” alisema mwanachama mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Komu.
Lakini wanachama wengine walioonekana kumuunga mkono Lowassa, walisema kutompa nafasi hiyo ya kugombea urais kada huyo kutoka CCM, ni kupoteza bure nafasi iliyokuja bila kutarajiwa, kwani waziri mkuu huyo wa zamani ana wafuasi wengi kutoka ndani ya chama tawala na kuwa wataongeza mno idadi ya kura za ushindi.
“Hii ndiyo nafasi ambayo Chadema ilikuwa inaisubiri kwa miaka yote, wote tumeona jinsi alivyokuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM, kutompa agombee urais ni kujikosesha ushindi makusudi, tuna imani na Lowassa,” alisema.
Tangu kukaribishwa kwa Lowassa ndani ya Chadema, chama hicho kikuu cha upinzani kimekuwa na mgawanyiko mkubwa, hasa kwa kile kinachodaiwa kususa kwa Dk. Slaa ambaye aliyejijengea umaarufu mkubwa kutokana na misimamo isiyoyumba.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top