Mwandishi Wetu
STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la
utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini Uturuki
mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya kumrusha mwanaye kutoka katika
ghorofa ya tatu ya jengo alilokuwa akiishi kisha na mwenyewe kujirusha
na kufa papo hapo.
Akiwa na mwanaye enzi za uhai wao.
Chanzo chetu kilichopo jijini humo, kimeliambia gazeti hili kuwa
kinacho taarifa za msiba huo ambao chanzo chake halisi hakijafahamika,
lakini kitendo cha marehemu huyo kumtupa mtoto wake aliyekuwa na umri wa
miaka kumi, kinaonesha alikuwa na tatizo la kisaikolojia.
“Ninamfahamu marehemu na hilo tatizo lipo, kabla hajajirusha
mwenyewe, kwanza alimtanguliza mtoto wake ambaye alifia hospitalini na
tunamzika leo saa saba (Jumatatu). Marehemu bado hatujajua kama
tutamhifadhi hapa au tutamrejesha nyumbani,” alisema mtoa habari huyo.
Alisema kuna gharama kubwa za kuusafirisha mwili kutoka Uturuki hadi
Tanzania na kwa sababu hiyo, Watanzania walioko huko wanapeana taarifa
ili kuona kama wanaweza kutoa michango itakayotosha au la.
Kuhusu wasifu binafsi wa marehemu, chanzo hicho kilisema marehemu
alikuwa akiishi na mwanamke mwenye uraia wa Uturuki, lakini hakuwa na
asili ya nchi hiyo, akishindwa kuthibitisha asili hasa ya mkewe huyo na
kuhusu kazi, alisema Mabastola hakuwa na kazi rasmi kwani alikuwa mtu wa
kujichanganya katika mihangaiko ya maisha.
Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, jitihada za kufahamu sehemu anayotokea Mabastola nchini Tanzania hazikuwa zimefanikiwa.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 22 September 2015
Post a Comment