Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa anakabiriwa na adhabu ya
hadi mechi tatu na chama cha soka nchini England
baada ya mchezo usio wa kiuungwana kwa mlinzi wa Arsenal Laurent
Koscienly katika mchezo wa jumamosi iliyopita.
Katika mchezo huo uliomalizika kwa Chelsea kushinda mabao 2-0 dhidi ya
Arsenal, ulimalizika kwa Arsenal kuwa na wachezaji wawili pungufu
waliooneshwa kadi nyekundu na mwamuzi Mike Dean.
Costa ambaye anakabiliwa na adhabu kwa mchezo mbaya kwa Koscienly
alioneshwa kadi ya njano na mwamuzi Mike Dean ambaye hata hivyo
haikujulikana kadi hiyo ni kwa kosa la Koscienly au ni majibizano yake
na Gabriel Paulista ambaye pia alioneshwa kadi nyekundu baada ya kuingia
katika mtego wa Costa.
FA waliipitia ripoti yenye utata ya mwamuzi Mike Dean ambaye
hakumuadhibu Diego Costa kwa kitendo hicho kwa madai ya kutoona vizuri
kilichotokea.
FA pia wamempa adhabu Gabriel Paulista kwa kitendo chake kilichopelekea
kupigwa kadi nyekundu, wakati Saint Carzola akipewa onyo kali, na klabu
zote mbili za Arsenal na Chelsea zikipigwa faini kwa kutowafunza adabu
wachezaji wake. Wote wamepewa hadi saa kumi na mbili jioni jumanne hii
kukata rufaa.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
MICHEZO
on Tuesday, 22 September 2015
Post a Comment