Takwimu zinaonesha China inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Idadi kubwa ya watu Duniani ambapo ina jumla ya watu Bilioni 1.38, nafasi ya pili ni India ambayo ina jumla ya watu Bilioni 1.31, hao sio watu wachache mtu wangu kwa sababu ukiangalia Dunia nzima ina jumla ya watu Bilioni 7 !!
Tatizo la ukosefu wa ajira ni tatizo
kubwa sana sasahivi kila sehemu Duniani, nchi ya India inaingia kwenye
stori kubwa kwa leo… ishu ni kwamba Serikali ya India ilitangaza nafasi
368 za kazi kwa Walinzi pamoja na Wahudumu wa Chai Maofisini, lakini
unaambiwa kwenye nafasi hizohizo 368 watu waliojitokeza kuomba nafasi
walikuwa watu Milioni 2.3.
Maofisa wa Serikali wamesema kama kila
mtu aliyetuma maombi ya kazi akiitwa kwenye Interview maana yake ni
kwamba itachukua miaka minne mpaka kuwapata watu watakaoajiriwa kwenye
nafasi hizo.
Wengi walioomba kazi wanasema walipoona tangazo ilibidi watume maombi kwa sababu hakuna ajira na maisha ni magumu.
Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa, UN zinaonesha mpaka kufikia mwaka 2030 India itaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu, ikifuatiwa na China na Marekani.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 22 September 2015
Post a Comment