Featured

Loading...


Fahamu kuhusu hili la Kondomu yenye umbo la chupi huko Uganda+Audio

Kuna aina mpya kondomu ya wanawake ambayo inapigiwa upatu na shirika moja nchini Uganda. Kondomu hii inaumbo la suruali ya ndani ya wanawake.

Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string'' Kondomu hiyo ya kisasa maarufu kama ''panty condom'' itasaidia wanawake haswa wanaposhiriki tendo la ndoa pasi na kutarajia ima ni ghafla ama ubakaji.

Haswa shirika linayoinadi kondomu hii ya kipekee inasema kuwa inanuiwa kuzuia usambazaji wa magonjwa mbalimbali kwa ngono ikiwemo UKIMWI. Hata hivyo mamlaka ya madawa nchini Uganda inasema kondomu hiyo bado haijapimwa kuona kama inafikia viwango vya kitaifa. Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango na maelezo zaidi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top