Hekaheka ya leo inatokea maeneo ya Mbagala ambapo kuna mama mmoja
anatuhumiwa kumnyonyesha mtoto wa jirani yake…alimchukua mtoto wa jirani
yake huyo na kumnyoshesha baada ya kumkuta analia.
Dada wa kazi kazungumza na
Geah Habib na kusema alikua anapika akaona jirani yake amekuja na kumchukua mtoto na kuanza kumnyonyesha baada ya kumuona analia.
Mama mzazi wa mtoto amezungumza na kusema alirudi kutoka kazini na
kupewa taarifa hizo..yeye na mume wake wakamfuata kumuuliza lakini
alikakataa na kumazimu kwenda kwa mjumbe.
Amesema ana wasiwasi kwa kuwa maisha ya sasa yamebadilika si kama zamani na itabidi wakishindwa kuafikiana waende Polisi.
Mama aliyemchukua mtoto kumnyonyesha amesema ameshangazwa na tuhuma
hizo kwa kuwa si kweli kwani yeye alishaacha kumnyonyesha mtoto wake
miezi sita iliyopita, ana akili timamu hawezi kufanya vitu kama
hicho..anasema alimchukua na kumpa chakula baada ya kumuona analia na si
kumnyonyesha.
Sikiliza tukio zima likizungumziwa hapa…
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Tuesday, 29 September 2015
Post a Comment