Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika klabu ya Manchester United Memphis Depay, ameingia kwenye headlines na mpenzi wa zamani wa staa wa muziki wa Marekani. Memphis Depay ambaye amejiunga na klabu ya Manchester United katika majira ya usajili yaliyofungwa mwezi August mwaka huu akitokea klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi, Depay ameonekana akiwa pamoja na mpenzi wa zamani wa Chris Brown.
Depay ameonekana akikatiza sehemu kadhaa akiwa pamoja na mwanamitindo Karrueche Tran ambaye aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na staa wa muziki wa Marekani Chris Brown, Karrueche Tran amewahi kuingia katika headlines mara kadhaa na Chris Brown baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi ya kuachana na kurudiana.
Kwa sasa Karrueche Tran yupo karibu sana na staa wa klabu ya Manchester United Memphis Depay kitu ambacho kinafanya wengi wajiulize maswali kuhusiana na ukaribu huo. Depay na Karrueche Tran wameonekana pamoja wakiwa sehemu kadhaa ikiwemo Club LIV. Hii sio mara ya kwanza kwa Depay kuonekana akiwa pamoja na Karrueche Tran kwani waliwahi kuonekana katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa msimu huu.
Hii ndio picha ya kwanza ambayo walionekana pamoja kati kati ya mwaka huu Depay na Karrueche Tran
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Tuesday, 29 September 2015
Post a Comment