Featured

Loading...


Kambi ya Magufuli?.. UKAWA na CCM.. Ahadi ya Lowassa? Utafiti wa Uchaguzi Mkuu TZ? (Audio).

Uchambuzi wa magazeti leo Jumanne 22 September 2015 @CloudsFM umekupita? Ninazo hapa zile kubwa kwenye vichwa vya habari asubuhi hii, kama zilikupita karibu ucheki na hizi nyingine hapa chini.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asema chama chake kina watu watano wenye uwezo wa kukibeba chama hicho kwenye shughuli zao za Kampeni, Edward Lowassa ameahidi kujenga kamati maalum ili kuchunguza mikataba ya gesi… na Dk. Magufuli ameendelea kukosoa awamu za Serikali zilizopita akikumbushia ranchi zilizouzwa kwa kukiuka taratibu.
UKAWA na CCM washindana kujaza watu kwenye mikutano yao ya Kampeni huku CCM wakisema ushindi wa jukwaani ni kwa asilimia 30% na ushindi mwingine ni mbinu, Taasisi ya TWAWEZA kutangaza matokeo yake ya utafiti wa hali ya Siasa nchini, utafiti wao utabaini pia wananchi wanataka Chama gani.
Wagonjwa wa kipindupindu wafika 959, Watalii 9 kati ya 20 waliokwama kwenye moto wa Mlima Meru waokolewa jana na Mamlaka ya Hifadhi, TANAPA… Serikali imeridhishwa na mchakato wa kuanzisha Chuo Kikuu cha Hesabu na Sayansi Bagamoyo.
Sauti yote ya uchambuzi wa magazeti kwenye #PowerBreakfast ninayo tayari hapa chini, bonyeza play kuisikiliza moja kwa moja.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright 2025 JICHO LETU | Designed By Code Nirvana
Back To Top