Brighton Masalu
SIKU Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi,
Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’
katika tasnia hiyo, Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo
mwenye mvuto amesema hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku
akishikilia alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtu”, Amani
linaandika.
Waigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni na Elizaberth Michael ‘Lulu’ wakiwa kwenye pozi.
Muda mfupi baada ya Dk. Cheni kusema haoni tatizo kwa kumuoa Lulu,
gazeti hili lilimtafuta msanii huyo kwa njia ya simu “Mtu anayesimama na
wewe wakati wa shida ndiye rafiki kwa kweli, Dk. Cheni amenisaidia pale
ambapo kila mtu alijitenga nami, kama kuna kinachoendelea kati yetu, ni
cha kwetu na mambo yetu,” alisema.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Wednesday, 30 September 2015
Post a Comment