Featured

Loading...


Mwacheni Eric Omondi na mapenzi yake… surprise kwa mpenzi wake Airport Kenya.. (Pichaz+Video)

Jomo Kenyatta International Airport ilipata Burudani ya nguvu tena ya bure kabisa na ya aina yake kutoka kwa staa wa Comedy toka +254 Kenya, Eric Omondi.

Wachekeshaji huwa ni watu ambao wakati mwingine hata akifanya kitu cha kawaida kabisa bado ukimuona tu unajikuta unacheka… Eric Omondi alionesha upande wake mwingine kwamba yeye ni binadamu na ana mapenzi yake kabisa !!

Eric alipost pichaz kadhaa kwenye ukurasa wake @Instagram akionesha kuanzia mwanzo ilivyokuwa wakati alivyoenda kumpokea mpenzi wake Uwanja wa Ndege wa JKIA, Nairobi Kenya ambapo mpenzi wake huyo, Shantel Grazioli alikuwa anawasili toka Razzmatazz, Hispania.

Eric na mpenzi wake, Shantel wakikumbatiana kwa furaha.

Haikuwa mapokezi ya kuishia kwenye kukumbatiana na mabusu pekeake, Eric na Kikosi cha FBI dancers walitoa Burudani ya dance ya nguvu mtu wangu hapohapo Airport !!

Safari kuelekea home sasa, Eric na waubavu wake, Shantel pembeni !!


Shantel na Eric wamekuwa na uhusiano kwa kipindi kirefu na kuna story kwamba wana mpango wa kuingia kwenye Ndoa halali kabla ya mwaka 2015 kuisha !!

Hii ni picha ambayo alipost asubuhi yake, yeye na mpenzi wake pembeni alafu akaandika >>> ‘Good morning Fam @miss.chanty‘ >>> @ericomondi

Mrembo Shantel Grazioli, mpenzi wa Eric Omondi ambae wazazi wake wana mchanganyiko wa Kenya na Italia.

Bado naikumbuka siku ambayo Eric Omondi alialikwa na kuitwa kwenye stage ya Zari All White Party pale Mlimani City Dar es Salaam… unaweza kukicheki hapa hicho kipande mtu wangu ambayo kiko pia kwenye Youtube channel ya @Millard Ayo >>>>YouTUBE

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top