Umaarufu wa mchezaji bora wa dunia Cristiano Rolando umeanzia katika kipaji chake uwanjani..lakini mbali ya kuwa maarufu kuna mambo ambayo yamemuweka kwenye wakati mgumu kabla na baada ya kupata umaarufu alionao sasa.
Mwaka 2005 aliingia matatani baada ya kuhusishwa na tuhuma za kumbaka binti mmoja katika hotel iliyopo jijini London, Uingereza.
2. Ronaldo amekuwa akituhumiwa kushindwa kutulia na mwanamke mmoja kutokana na kukosa uaminifu katika mahusiano aliyoyapitia.
Baada ya kuachana na girlfriend wake Irina Shayk ambaye alidumu naye kwa miaka mitano, staa huyo hajaweza kutulia na mwanamke mmwingine mpaka sasa. miongoni mwa wanawake aliowahi kuwa nao katika mahusiano ni pamoja na Kim Kardashian pamoja Paris Hilton.
3. Ni baba wa mtoto aliyezaa na mwanamke asiyetambulika.
Mwaka 2010 Ronaldo hakutaka mwanamke aliyezaa naye mwanaye wa kiume Ronaldo Jr kufahamika na kuamua kumpa kiasi cha dola milioni 10 ili anyamaze.
4. Alihusishwa kuwa na mahusiano na makahaba.
5. Mwaka 2012 Ronaldo alikamatwa baada ya kuonekana kwenye kamera akiendesha gari lake aina ya Lamborghini huku akiwa amempakata mwanaye aliyekuwa na miaka 2.
6. Wakati akiwa katika mapumziko ya ligi kuu huku akila bata katika visiwa vya Saint Tropez, Ronaldo alikamatwa na kamera za waandishi wa habari akikojoa pembeni ya gari lake.
7. Kabla ya kuwa staa akiwa na miaka 14 Ronaldo alifukuzwa shule baada ya kumrushia mwalimu wake kiti. pia hakuwa akipenda masomo.
8 Mwaka 2009 alipata ajali mbaya akiwa na gari lake aina ya Ferrari 599 karibu na mji wa Manchester na kusababisha gari lake kuharibika vibaya.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
UDAKU
on Wednesday, 23 September 2015
Post a Comment