Featured

Loading...


TUMEINASA; OTILIA LIVE NA ALLY YANGA

Richard Bukos, aliyekuwa Geita
KATIKA hali iliyoashiria usaliti, Jumapili iliyopita msanii wa Bendi ya ToT, Otilia Boniface alinaswa ‘live’ na shabiki maarufu wa Yanga aitwaye Ally Said ‘Ally Yanga’ wakibusiana.
Katika tukio hilo wawili hao walinaswa kwenye Viwanja vya Chato, mkoani Geita wakifanya usaliti huo huku Otilia na njemba huyo wakidaiwa kuziacha familia zao jijini Dar.Wakiwa kwenye starehe zao, paparazi wetu aliliona tukio hilo na kuanza kuwafotoa picha ambapo Ally Yanga aligeuka mbogo na kuanza kumchimbia mkwara paparazi wetu.
“Ebwana mambo gani sasa hayo hebu futa picha hizo haraka sana tusije kuharibiana, mimi nina mke wangu naye ana mumewe hivyo hizo picha zitatuharibia,” alisema Ally Yanga.
Akizungumza na paparazi wetu, Otilia alisema katika tukio hilo walikuwa wakisalimiana tu na hakukuwa na dhamira nyingine kwa kuwa kila mmoja ana ndoa yake.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisikika akimtaja Ally Yanga kuwa ni mkali wa ‘totoz’ hivyo mume wa Otilia huko aliko alie tu.“Yule jamaa ni fundi bwana usimuone vile, mkeo akinasa pale hatoki, halafu nasikia jamaa anahonga balaa, mume wa Otilia akae chonjo tu,” alisikika shuhuda huyo ambaye alikataa kutaja jina lake.

chanzo; http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/otilia-live-na-ally-yanga

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top