
Usiku wa September 24 2015 taarifa ya
Majonzi imesambaa na kuwafikia watu kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari
pamoja na mitandao ya Kijamii, Serikali ikathibitisha pia kuhusu msiba
wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama Celina Kombani amefariki Dunia kutokana na maradhi ya Saratani, na amefariki akiwa India ambako alienda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Kuhusu taratibu zinazofatia, nimeipata
taarifa kutoka Ofisi za Bunge ambapo inaonesha mipango ya kusafirisha
mwili wa Marehemu mpaka Dar es Salaam inafanyika na mwili wa Marehemu
unatarajiwa kuwasili Dar Jumatatu September 28 2015, na baadae msiba utasafirishwa kupelekwa Mahenge Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Marehemu Mama Celina Kombani amefariki akiwa na umri wa miaka 56 na alikuwa Waziri na pia Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki.
RIP Mama Celina Kombani.
TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues.
Journalists who produce the best stories published or broadcasted in
media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip.
During its two year run, the project will award approximately 100 major
reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for
stories on development issues. Journalists who produce the best stories
published or broadcasted in media that reach African audiences, will win
a major international reporting trip.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
HABARI
on Thursday, 24 September 2015
Post a Comment