Featured

Loading...


Video; Jibu la Lowassa kuhusu Kukubali Matokeo endapo CCM Watashinda




 ZIKIWA zimebakia siku 30 kabla watanzania hawajapiga kura ya kumchagua Rais,mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa ambaye amekuwa akieleza imani yake kuwa atashinda kwa kishindo, ameeleza msimamo wake endapo tume ya Taifa ya Uchaguzi itatangaza matokeo tofauti na ya matarajio yake. Akiongea na kituo cha Runinga cha Citizen cha nchini Kenya, Lowassa amesema hawezi kusema kama atakubali au atakataa hadi itakapothibitika kuwa matokeo hayo hayajahujumiwa. "Siwezi sema nitakuchukulia kama nimeshindwa hadi nitakapothibitishiwa kuwa kila kitu kimeenda sawa na kwamba hakuna hujuma." Alisema Lowassa na kuongeza; "Tunaogopa sana kuhusu hujuma.Kila mtu unayeongea naye unapokutana naye, anakwambia utashinda, lakini je, watakubali kushindwa?" Katika hatua nyingine,Lowassa alijibu swali la mwandishi lililomtaka kueleza kama angeweza kusema anachokisema hivi sasa kuhusu CCM endapo angechaguliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. "Ninasema vitu vingi ambavyo vingeweza kufanywa vizuri zaidi na CCM,na ninasema vitu vingi ambavyo ninaweza kuvifanya vizuri zaidi nikiwa Upinzani." alisema Lowassa.

Tazama Video Hapo Chini kumsikiliza

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top