Featured

Loading...


VIONGOZI WA CHADEMA GAIRO, MIKUMI WATIMKIA CCM

 Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwashukuru baadhi ya wananchi waliofika kumpokea mpakani mwa Mkoa wa Dodoma na Morogoro alipokuwa akiwasili kuanza ziara ya kampeni mkoani Morogoro jana
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais CCM, Bi. Suluhu (kushoto) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Morogoro walipofika kupokea akitokea mkoani Dodoma. Mgombea huyo ameanza ziara ya kampeni Mkoa wa Morogoro.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili Mkoa wa Morogoro tayari kwa ziara ya kampeni.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo, Morogoro.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo, Morogoro.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo.
WanaCCM na wananchi wengine wakiwa katika mkutano wa kwanza wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Suluhu (hayupo pichani) katika Jimbo la Gairo.
WanaCCM na wananchi wengine wakiwa katika mkutano wa kwanza wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Suluhu (hayupo pichani) katika Jimbo la Gairo.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby akizungumza na wanaCCM na wananchi waliofika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby (kulia) akizungumza jambo na mgombea mwenza wa nafasi ya urais CCM, Bi. Suluhu katika mkutano wa kampeni Gairo.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu alipowasili katika mkutano mdogo wa kwanza kuinadi ilani ya CCM Jimbo la Gairo.
Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kiziga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika Jimbo la Gairo.
Baadhi ya vijana wakiwa wamepanda juu ya gari lililoegeswa ili kumuona mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni Gairo.
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akiwahutubia wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro.
Baadhi ya wanachama wa CCM na wapenzi wa chama hicho wakimpokea mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu alipowasili katika Jimbo la Mvomero jana ambapo alifanya mkutano wa kampeni.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby akiwahutubia wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni Gairo.
CCM Oyeeeeeeee....! Mkutano Jimboni Gairo.
Baadhi ya viongozi wa CCM (kulia) wakimpa zawadi ya sare kada mkogwe wa CCM Jimbo la Gairo.
Wakereketwa na wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM Jimbo la Gairo.
Wakereketwa na wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM Jimbo la Gairo.
Mmoja wa viongozi na makada wa Chadema wilaya ya Gairo (kushoto) akitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza, Bi. Samia Suluhu. 
Katibu wa Chadema Wilaya ya Gairo, Yona Senyagwa (kushoto) akizungumza mara baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katibu huyo pamoja na makada wenzake wametangaza kukihama chama cha Chadema na kujiunga na CCM jana.
Bi. Samia Suluhu akiwa amesimamishwa na wananchi njiani alipokuwa akielekea Wilayani Kilosa kufanya mikutano ya kampeni.
Kada mkongwe wa Chadema Kata ya Dumila, Tegemea Mnhambo akitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais, Bi. Suluhu.
WanaCCM na wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni juu ya gari lililoegeshwa.
Wananchi na wapenzi wa CCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM, Bi. Suluhu.
WanaCCM na Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM.
Wakitumia mbinu mbadala kumlaki mgombea mwenza wa CCM
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Inspecta Harun akihamasisha wanaCCM na wananchi mkutano wa kampeni Jimbo la Mikumi.  
Mmoja wa makada wa Chadema waliojiunga na CCM, katika mkutano wa kampeni Jimbo la Mikumi akisalimia wananchi.
Mgombea mwenza Bi. Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Jimbo la Mikumi. 
Mmoja wa makada wa Chadema waliojiunga na CCM, katika mkutano wa kampeni Jimbo la Mikumi akionesha kadi yake kabla ya kumkabidhi mgombea mwenza.
Mgombea mwenza Bi. Suluhu akimkabidhi kadi mmoja wa makada wa Chadema waliojiunga na CCM, katika mkutano wa kampeni Jimbo la Mikumi.

TOA MAONI YAKO HPO CHN1 KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright JICHO LETU
Back To Top